KANKONO MEDIA
MABASI YA MWENDOKASI YAPATA MWEKEZAJI MZALENDO kankonomediablogspot com juni.05.2025 - DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Kizalendo ya Mofat imepewa mkataba wa miaka 12 na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kwa ajili ya kuendesha Awamu ya Pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), unaotoka Gerezani hadi Mbagala. Kamp…
Read moreKAWAIDA: CCM CHAMA CHENYE USHAWISHI KWA VIJANA TANZANIA kankonomediablogspot.com Mei.19.2025 - MJINI MAGHARIBI - ZANZIBAR Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa na mvuto na ushawishi kwa rika mbalimbali hususani vijana wa Tanzania kutokana na utekelezaji mkubwa …
Read moreMAKALLA: DKT SAMIA AMEINUA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA kankonomediablogspot.com May 18.2025 - BUKOBA MJINI KAGERA KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi an Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, CPA Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mkombozi kwa kuinua zao la Kahawa mkoani Kagera. Makalla ameeleza hayo leo Me…
Read moreEVANCE KAMENGE KUWAFUTA MACHOZI WENYE UHITAJI MISSENYI kankonomediablogspot.com Na Lydia Lugakila Missenyi Ujenzi wa nyumba mbili za kisasa kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum (wasiojiweza) katika kata za Kitobo na Minziro, wilayani Missenyi, Mkoani Kagera, umeingia hatua za mwisho. Nyumba hizo zilizojengwa na Evance Kamenge amb…
Read moreMFAHAMU PAPA MPYA NA HISTORIA YAKE kankonomediablogspot.com Mei.08.2025 - KIMATAIFA - VATICAN Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, akichukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake mnamo Mei 8, 2025, kunamfanya kuwa Mmarekani wa kwanza kushika wadh…
Read moreRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MWINGINE kankonomediablogspot.com mei.08.2025 - DAR ES SALAAM Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Africa Media Group, Shaaban Kissu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu. Taarifa ya uteuzi wa Kissu, imetolewa leo Mei 7, 2025 Ikulu, Dar es Salaam na Katibu wa Rais, Waziri …
Read moreRAIS SAMIA ASAMEHE FAINI ZA MAJI NCHI NZIMA kankonomediablogspot.com mei.08.2025 - DODOMA Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesamehe faini za maji kwa Wananchi wote wenye faini katika Mamlaka za Maji nchini hivyo wenye faini wameombwa kufika kwenye Mamlaka hizo kwa ajili ya kurejeshewa huduma ya maji ambapo wanatakiwa kuf…
Read moreKIGOGO MWINGINE WA CHADEMA ATIMKIA CCM kankonomediablogspot.com April 27.2025 - TARIME - MARA Kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokea Tarime, mkoani Mara, Mohania Joseph Peter, amekianga chama hicho, akisema ni cha kiharakati na hakiwezi kufanya siasa. Ndugu Mohania, ambaye amewahi kushika nafasi…
Read more"TUMEJIPANGA KIKAMILIFU 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 2025 𝐔𝐓𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐈𝐊𝐀":- 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 kankonomediablogspot.com April 25.2025 - IKULU - DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imejipanga kikamilifu…
Read moreWASIRA AMVAA MWANASHERIA KUTOKA KENYA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA PLP NCHINI KENYA: "UWEZI KUJIPIMA UBAVU NA CCM" Kankonomediablogspot.com April 25.2025 - Na Mwandishi Wetu,Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjia juu Mwanasheria maarufu na mwanasiasa wa nchini Kenya Martha Karua, …
Read moreKATIBU MKUU WA CCM AWAPIGA MARUFUKU WANACCM KUUTUMIA WIMBO WA KICHOCHEZI kankonomediablogspot.com April 25.2025 - RORYA - MARA KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea chuki dhidi ya vyama vya upinzani, akiagiza usitumiwe na wanaCCM popote, kwani wao wanapasw…
Read morekankonomediablogspot.com April 23.04.2025 - MARA Na Mwandishi wetu Mkoa wa Mara BALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika kati…
Read more
Social Plugin