RAIS SAMIA AWATUA NDOO KICHWANI KINAMAMA WA SAME-MWANGA NA KOROGWE KWA MRADI WA MAJI WA BILIONI 406
kankonomediablogspot.com Machi.09.2025 - SAME - KILIMANJARO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo March 09,2024 amezindua Mradi wa Maji Same - Mwanga - Korogwe uliogharimu Shilingi Bilioni 406.
Rais Samia amezindua Mradi huo wakati wa ziara ya Siku Moja Mkoani Kilimanjaro ambapo Mradi utakuwa na uwezo wa kuzalisha Lita Million 51 na kuhudumia Vijijini 38.
#KankonoMediaNewsUPDATES





0 Comments