Ad Code

TANGAZA NA KANKONO MEDIA HAPA 0659671919

#TANZIA: AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA,MKURUGENZI WA UTAWALA HAZINA NA MWANAE WAFARIKI




#TANZIA: AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA,MKURUGENZI WA UTAWALA HAZINA NA MWANAE WAFARIKI 



kankonomediablogspot. com Disemba 23.2024 - SAME - KILIMANJARO

Watu wa wawili wa familia moja; aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kwenye Ofisi ya Msajili na Hazina, Amos Nnko na binti yake wa kwanza, Maureen Nnko wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea wilayani Same, mkoani Kilimanjaro.


Taarifa ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu imeeleza kuwa katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, mke wa marehemu na watoto wengine wawili na mwanafamilia mmoja wamejeruhiwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoani Kilimanjaro.


#KankonoMediaNewsUPDATES

Post a Comment

0 Comments